Ahsante kwa kutujuza Mkuu,
Mtambuzi .
Nimejifunza jambo ila n'na swali, historia haisemi kabla ya mnara wa Babeli (
Tower of Babel - Wikipedia) lugha ipi ndiyo ilikuwa ikizungumzwa?.
Binafsi nadhani kabla ya hapo kulikuwa na Lugha moja Duniani. Baada ya Mungu kuwapiga wababeli kofi la lugha, kutoka katika Kitabu cha Mwanzo 11:1-9 ndipo tulipoanza kuwa na lugha mbalimbali ulimwenguni.
Unaifahamu hii lugha?, kiesperanto?. Kama ndiyo, nijuze zaidi.