Nina mashaka mengi huu mradi tumeingizwa mjini..kuna faults nyingi sana ambazo zitakuja kujulikana utakapo anza kaziAfu mbona kama yale mabasi na vituo vilivyojengwa haviendani? basi zipo chini vituo vipo juu apo sijui walemavu wanaingiaje.
Wawaachie wananchi wazitumie kwa muda basi wakati wanamaliza hizo figisu figisu zaoWameunda tume ya kuyachunguza je yanafaa au kuna harufu ya rushwa...
Baada ya hapo italetwa ripoti kamili hayafai na zabuni kurudiwa upya..
Kwa kipindi chote hicho hizo barabara zitakua parking...