Kizungumkuti ajira za mwaka huu 2016/17

Abuwhythum

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
837
495
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma Mh. Angela Kairuki

Inakadiliwa kuwa watumishi 4,300 wapya wanataajiriwa kuajiriwa katika kada ya elimu na wasanifu wa maabara ambapo ajira hizo mpya zinakuja bada ya kukamilika kwa zoezi zima la kuhakiki watumishi hewa.

Hayo yamebainishwa mkoani Tabora na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma Mh. Angela Kairuki, wakati akizungumza na watumishi na wanachuo, ambapo amesema kuwa, kwa muda mwingi taifa limekuwa likikabiliwa na changamoto ya watumishi hewa huku likipoteza fedha nyingi.

Aidha Mhe. Kairuki amesema kuwa kamwe serikali haitamvumilia mtumishi ambaye atabainika kuwa na vyeti feki, huku akiwataka watanzania kutambua madhara ya vyeti hivyo kuwa ni kutopatikana kwa huduma stahiki huku akiwataka wahitimu katika kada mbali mbali kutowaonea haya watu ambao wanataka kupora ajira za wenzao.
 
Mi sina imani nao Hawa watu kwani walisema uhakiki mwisho February wakazidisha.na madaraja sijui kqma watapandisha
 
Sasa kama serikali hii inafanya yote haya katika awamu ya kwanza ilhaal wanajua watakuja kuomba kura tena kwa awamu ya pili! Mkiwapa kura awamu ya pili ambapo hawaji kuomba tena kura! Si watahakikisha kila mtu amekufa ndo iwe furaha yao.
 
Hata Boko Haram na Al Shabab haikuzaliwa ilianzishwa. Itafika muda kitaeleweka tu. Ghadafi pamoja kuwa na jeshi kubwa lkn leo ni marehemu. Mm nafikiri utafika muda wa kuheshimiana kila mtu. Muda unakuja tu.
Pombe siyo chai na usijarubu kuwa mlevi hautapata maendeleo.
Tangu lini pombe ikaleta maendeleo? Awamu hii ni ya kidhalimu sana sijawahi kuona. Wao wafanye wanavyotaka lkn wakumbuke ''HAKUNA SERIKALI YYTE DHALIMU DUNIAN ILIYOSHINDANA NA WANANCHI IKAWASHINDA" NAJUTA SANA KUWA MTANZANIA
MLAAANIWE WOTE MPAKA VIZAZI VYENU MNAOZUIA AJIRA ZA VIJANA
 
WAO SI WANAKULA NA KUNYA? KITAELEWA TU. HIV VIJANA WENGI WANAGRADUATE NA SASA HIV TEKNLOJIA NI KUBWA. KITAELEWEKA TU WW SUBIRI. VIJANA WENGU WAKIWA HAWANA KAZI HAPO ISSUE YA MADAWA YA KULEVYA HUWEZ KUIPINGA, UJAMBAZI N.K NGOJA WATU WACHOKE NA MAISHA SASA HIV WATU BADO WANA NGUVU ILA WAKICHOKA TUTASEMA
NAKUMBUKA SANA MSEMO WA TUNDU LISSU
"TUNA RAISI WA AJABU HAIJAWAWI KUTOKEA TANGU TUPATE UHURU" NAKUBALIANA KBSA
NASIKIA UCHUNGU SANA KWA KWELI HALAFU KUNA VICHAA VINALIPWA PESA NA POLE POLE WAJE KUSIFIA UJINGA
TUNASHIDA SANA KUWA NA VIONGOZ WENYE MAKAMASI KWENY VICHWA VYAO
 
Hivi kwa nini huyu mama asinyamaze tu mpaka hapo itakapowezekana kuajiri? Mbona kila mara anakuja na single mpya halafu ina expire bila utekelezaji?
Hii ndio tatizo la wasomi wetu wanategemea ajira serikalini tuuuuuu.poor people
 
Mfalme suleiman alifananisha pete ya dhahabu kwenye pua ya nguruwe na mwanamke mzuri asiye na akili ni sawa sawa. Mpuuzeni tu huyo mwanamke, hapo ndo anapotetea ugali wake kwa kujitoa ufahamu.
 
Hata Boko Haram na Al Shabab haikuzaliwa ilianzishwa. Itafika muda kitaeleweka tu. Ghadafi pamoja kuwa na jeshi kubwa lkn leo ni marehemu. Mm nafikiri utafika muda wa kuheshimiana kila mtu. Muda unakuja tu.
Pombe siyo chai na usijarubu kuwa mlevi hautapata maendeleo.
Tangu lini pombe ikaleta maendeleo? Awamu hii ni ya kidhalimu sana sijawahi kuona. Wao wafanye wanavyotaka lkn wakumbuke ''HAKUNA SERIKALI YYTE DHALIMU DUNIAN ILIYOSHINDANA NA WANANCHI IKAWASHINDA" NAJUTA SANA KUWA MTANZANIA
MLAAANIWE WOTE MPAKA VIZAZI VYENU MNAOZUIA AJIRA ZA VIJANA
Acha mawazo ya kigaidi,km vipi nenda hukohuko waliko wenzako.
 
Acha mawazo ya kigaidi,km vipi nenda hukohuko waliko wenzako.
Mawazo ya kigaid huja baada ya mambo kuwa magumu. Wote tulizaliwa na roho ya huruma ila mazingira yanatubadilisha nakuwa na roho za wanyama. Time will tell
Ngoja tuanze kuchoka, si unaona pale Tazara? Ule ni mfano tu watanzania ijayo.
Al shabab haikuzaliwa ilianzishwa ngoja tufikie stage ya nothing to lose ndiyo uone muziki wake. Ww si unaongea? Muda utajibu
 
..wezi tu hawa hakuna cha ajira wala mavi yao....waambieni waanze kwanza kulipia malimbikizo ya stahiki za watumishi walizokalia tangu waanze usanii wao wa uhakiki wa kibashite bashite....
 
Sasa kama development budget imetekelezwa kwa 34% tutegemee nn zaidi ya vi-wonder
 
Sasa kama serikali hii inafanya yote haya katika awamu ya kwanza ilhaal wanajua watakuja kuomba kura tena kwa awamu ya pili! Mkiwapa kura awamu ya pili ambapo hawaji kuomba tena kura! Si watahakikisha kila mtu amekufa ndo iwe furaha yao.
Mkuu bila tume huru hamna haja ya uchaguzi. Tume haipatikani bila katiba mpya. Kwa hiyo hawaogopi kuja kuomba kura kwani inajulikana mamlaka hazibadilishwi kwa kipande cha karatasi au kura. Ni hayo tu mwenzangu!
 
Back
Top Bottom