Mwalimu: wanafunzi, mkichukua minyoo ukaweka kwenye maji itafurahi na kurukaruka.......
na mkichukua minyoo hiyohiyo mkaweka kwenye pombe itaumia na kufa,..je mmejifunza nini katika somo hili
Kizibo: mwalimu me nimejifunza kuwa tukinywa pombe katika maisha yetu tutauwa minyoo yote iliyopo tumboni
Mwalimu hoi.........hahahahahaa....:disapointed: