Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Gen z watamkimbiza samuya nje ya nchi hiyo #D9CCM ni wapumbavu sana.
Wali paralyse vyama vya upinzani wakiamini watatawala kirahisi ila mambo yamekua vice versa.
Matokea yake umeibuka upinzani mpya, tena upinzani wa Gen Z ni wa moto sana kushinda ule wa vyama vya upinzani.
Wenyewe wanajiita WAKRISLAMGe-z sio watu wa dini wala wa siasa huwezi kudili nao zaidi ya kutimiza kile wanataka basi
Wa Madagascar alikimbia nchi yakeOgopa sana mtu anapigwa risas ..anaokolewa ila analazimisha arudi wakammalizie...ukiona binadamu amefikia stg hyo bac kama we ni kiongoz na unatumia mabavu..nenda kabatin angalia kitakachokufaa weka kweny begi..kimbia kabisaa..wala usiangalie nyuma due yajayo yatakufurahisha
I'm telling you and trust me when I say I see I say.. vijana wakiamua ni suala la usiku mmoja tu serikali inaanguka. Hutoamini maneno yangu but believe me kuna kitu nimekiona ambacho sijui km kuna mtu anaona km mimi ndio maana wanapiga makelele majukwaani sababu wanaijua nguvu waliyonayo vijana wakiamua ile kuamua kweli usiku mmoja mwingi sana.. kwanini nasema usiku mmoja? Usiniulize mara mbiliJe, gen z wa Tanzania wanaweza kupindua serikali ya Tanzania?
Fayaaa!Na ndivyo inavyotakiwa, ifike mahali vijana wajue kujipambania bila kusukumwa na chama cha siasa.
Sasa kama gen z wamekuwa wa moto kuliko vyama vyama vya siasa kama chadema na mwenyekiti wake si wamuachie tu mjuba lissu atoke korokoroni? Maana upinzani wake ni cha mtoto kwa hawa ma gen z. Upinzani wa lissu hauna madhara kwa ccm tena, umeibuka upinzani mpya wa ma gen z. Sijui kina lissu na chadema yake watafanya siasa za aina gani kama upinzani sasa umehamia kwa gen z Hata hivyo gen z ni upepo fulani tu unaovuma kwa muda na utapita kama kimbunga, serikali imara ndio zitahimili upepo huo na zile dhaifu zitabanduliwa na upepo huo mkali unaovuma kwa sasaCCM ni wapumbavu sana.
Wali paralyse vyama vya upinzani wakiamini watatawala kirahisi ila mambo yamekua vice versa.
Matokea yake umeibuka upinzani mpya, tena upinzani wa Gen Z ni wa moto sana kushinda ule wa vyama vya upinzani.
Sasa hivi inafanya tafrija kwa kificho, pambafuu kabisa! JW Mo29 walirahisishiwa kazi wakashindwa kumaliza mchezo, wacha vi Gen-Z vipambane vyenyewe!Gen z watamkimbiza samuya nje ya nchi hiyo #D9
Bado wanaendelea kusearch wajue ni nani muhamasishaji mkuu ndio maana wanakamatakamata watu hovyo.Sasa kama gen z wamekuwa wa moto kuliko vyama vyama vya siasa kama chadema na mwenyekiti wake si wamuachie tu mjuba lissu atoke korokoroni? Maana upinzani wake ni cha mtoto kwa hawa ma gen z. Upinzani wa lissu hauna madhara kwa ccm tena, umeibuka upinzani mpya wa ma gen z. Sijui kina lissu na chadema yake watafanya siasa za aina gani kama upinzani sasa umehamia kwa gen z Hata hivyo gen z ni upepo fulani tu unaovuma kwa muda na utapita kama kimbunga, serikali imara ndio zitahimili upepo huo na zile dhaifu zitabanduliwa na upepo huo mkali unaovuma kwa sasa
CCM kumejaa wasomi wasioweza kuusema ukweli hadharani, walipaswa kuhakikisha vyama vya upinzani hasa chadema vinanawiri ili kupunguza upinzani kutoka katika makundi mengine ambayo ni ngumu kuyadhibiti.Kizazi cha Gen z kimekuwa na nguvu na mwiba mkubwa kwa mafisadi kwenye mataifa mbalimbali kuliko upinzani wa vyama vya siasa.
Je, gen z wa Tanzania wanaweza kupindua serikali ya Tanzania? hili ni jibu ambalo linaweza kuwa ndio,
kulingana na uchunguzi idadi ya gen z ni zaidi ya asilimia 60% ya watanzania, hivi karibuni serikali ilipata upinzani mkubwa kutoka kwa gen z pasipo kutegemea hivyo uwezo wa gen z kuchukua nchi ni mkubwa na unaweza usitegemewe kwa sasa.