Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Sep 17, 2013 #2 Hapo angepitwa sana angejiachia kwa uhuru japo kwa dakika tano nature ifanye kazi!
Gefu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 6,929 Reaction score 2,567 Sep 17, 2013 #3 ...matumizi mazuri ya muda...
Aadilu JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 645 Reaction score 464 Sep 17, 2013 #4 mi nadhani atakuwa facebook hapo
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,709 Reaction score 23,149 Sep 17, 2013 #5 sio mzima nadhani
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 Sep 18, 2013 #6 Wakati ni mali
D Descartes JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 2,765 Reaction score 1,664 Sep 18, 2013 #7 Ametoroka chumba cha mtihani huyo kuja "kuchabo"...
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,545 Reaction score 15,781 Sep 18, 2013 #8 Mi mara nyingi nikiwa mahari hapo, uwa napenda kusoma majarida. Zamani nilikuwa napenda kuvuta sigara,lakini sasa nimeacha,kwa hiyo siku hizi nikiwa maliwatoni najisomea.
Mi mara nyingi nikiwa mahari hapo, uwa napenda kusoma majarida. Zamani nilikuwa napenda kuvuta sigara,lakini sasa nimeacha,kwa hiyo siku hizi nikiwa maliwatoni najisomea.
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,545 Reaction score 15,781 Sep 18, 2013 #9 Gefu said: ...matumizi mazuri ya muda... Click to expand... Sawa,lakini kwanini aweke laptop sakafuni,manaake naona anateseka kujipinda,si angeweka mapajani tu.
Gefu said: ...matumizi mazuri ya muda... Click to expand... Sawa,lakini kwanini aweke laptop sakafuni,manaake naona anateseka kujipinda,si angeweka mapajani tu.
Chakuchambuka JF-Expert Member Joined Aug 4, 2012 Posts 342 Reaction score 63 Sep 18, 2013 #10 kaziii kwel kweli