Kizaazaa chooni... Kile cha toilet

Nimeshikwa na Uoga wa kwenda chooni ghafla na huyo mdudu namwogopa balaa, Cjaona nyoka live muda mrefuu sana lkn hawa wakuona kwenye movie na picha wananikoseshaga ucngz kabisaaa,maranyingi huwa nahic wako uvungu wa kitanda

Sasa nilichoona Hapa chooni hapaendeki leo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…