GE2025 Kiza Mayeye: Huduma ya Afya Tanzania zinatolewa kwa matabaka

GE2025 Kiza Mayeye: Huduma ya Afya Tanzania zinatolewa kwa matabaka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Tanzania imebarikiwa utajiri wa kila kitu, lakini tunashangaa huduma ya afya ni mbovu, tumekuja hapa Tunduru kinamama wanalalamika wakienda kujifungua wanauziwa watoto, vifaa vya kujifungulia hakuna, wazee wanatozwa hela, lakini tunashangaa wenzetu wa Chama Cha Mapinduzi wanajisifia eti nchi nzima kuna majengo ya huduma ya afya, sisi tunawaambia wananchi hawataki majengo wanachohitaji ni huduma bora" Kiza Mayeye. Mwenyekiti wa ACT Mkoa wa Kigoma, akizungumza na wakazi wa Jimbo la Tunduru Kaskazini wilayani Tunduru mkoani Ruvuma.
 
"Wamama wanauziwa watoto"
Hii platform inafuatiliwa Sana hata Rais wa Nchi anapita huku.
Toa taarifa yenye usahihi
 
Back
Top Bottom