Kiwewe cha CCM kinaipaisha CHADEMA!

Kiwewe cha CCM kinaipaisha CHADEMA!

Kaguta

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
414
Reaction score
504
Kabla ya mazingaombwe ya CD ya Rwakatare hali ya kisiasa ndani ya Chadema ilikuwa haileweki, kumbuka ndiyo kwanza walikuwa wametoka kwenye suala la akina Shonza na watu makini wanaofuatilia duru za kisiasa nchini walikuwa bado wanapima suala hilo uzito wake na madhara yake kama yangetokea.

Ccm sijui kwa kutokuwa na mipango makini au kukurupuka, au kiwewe wakaingia na CD! Chadema sijui kwa umakini au kwa bahati wakalifanyia kazi vizuri sana. Kwanza Mbowe alilibeba vizuri sana kwenye mikutano ya kuzindua kanda, nakumbuka mikutano yake ya Mbeya na kanda ya ziwa alilieleza kwa hisia na kuwajaza watu hasira kwa kuwaaminsha kwamba Ccm inateka watu na kuwaumiza kiasi kile kwa faida za kisiasa.

Kiboko yao alikuwa ni Marando Mabere alipowaumbua watekaji, na kama kawaida yao Ccm wakaja na utetezi 'kipumbavu' eti kuingilia mawasiliano ya mtu ni kosa! Hivi huu ni upungufu wa umakini kiasi gani?????? Badala ya kuwaondoa watuhumiwa katika tope hili, eti kuingilia mawasiliano ya mtu ni kosa!!!!

Likafuata suala la kufukuzwa wabunge machachari wa Chadema bungeni, hili nalo kulikuwa na jinsi ya kulikwepa maana Spika wakati anasubiliwa awaondolee adhabu au kuikazia angekuja na kusema nimewasamehe na ninawaonya kwa kosa hilo. Angekuwa ameliuwa suala kisiasa, badala yake akakazia hukumu na vijana wakaingia mitaani wakaomba huruma ya wananchi na kweli wakaipata. Ukidadisi maoni ya watu wanasema baada ya kuua uhuru wa vyombo vya habari na mahakama sasa wameliua bunge.

Kiwewe kikaendelea kwa suala la Lema, ujinga, ujinga, ujinga juu ya ujinga!!!!

Chama hiki kina washauri? Washauri wenyewe ni kina Nape na Mwigulu? Kama ni hao chama kimefilisika kiasi hicho?
Akina Mangula na Kinana wanakuwa wapi wakati chama kinafanya makosa ya kijinga na kitoto namna hii?
 
CCM wamesaidia sana kuenea kwa CHADEMA kwa siku za karibuni...
Hata vijijini ambako walikuwa hawaisikii CDM, siku hizi imekuwa ndiyo stori za vijiweni kwa sababu ya kazi kubwa inayofanywa na Nape na Mwigulu...
 
Upo sahihi kamanda,Kinana yupo busy kibiashara,Mangula busy na my waifu wake mali mpya,wameacha nyumba kwa wala ndumu Mwigulu na Nape wanaiunguza.
 
Kaguta Umenena. Lkn kwa Ufupi ndani ya CCM hakuna wa Kumfunga paka Kengele.Wote wako ndani ya tupe hakuna wa kumuokoa mwenzake.Hivyo wamebaki na pressure ya Kushuka na kupanda. Waliwarubuni akina Shonza na Mwampamba wakitegemea kuwa watafanikiwa kusambaratisha CDM kama Mzee Wasira alivyoropoka. Labda CCM wajue tu kwa Ufupi CDM tuna ANTVIRUS inayo Scan kila aina ya Takataka kutoka Magambazi.
 
Kwa Matamko haya ya Ikulu ikifika 2015 i bet CHADEMA itakuwa maarufu kuliko chama cha Obama...
 
Kabla ya mazingaombwe ya CD ya Rwakatare hali ya kisiasa ndani ya Chadema ilikuwa haileweki, kumbuka ndiyo kwanza walikuwa wametoka kwenye suala la akina Shonza na watu makini wanaofuatilia duru za kisiasa nchini walikuwa bado wanapima suala hilo uzito wake na madhara yake kama yangetokea.

Ccm sijui kwa kutokuwa na mipango makini au kukurupuka, au kiwewe wakaingia na CD! Chadema sijui kwa umakini au kwa bahati wakalifanyia kazi vizuri sana. Kwanza Mbowe alilibeba vizuri sana kwenye mikutano ya kuzindua kanda, nakumbuka mikutano yake ya Mbeya na kanda ya ziwa alilieleza kwa hisia na kuwajaza watu hasira kwa kuwaaminsha kwamba Ccm inateka watu na kuwaumiza kiasi kile kwa faida za kisiasa.

Kiboko yao alikuwa ni Marando Mabere alipowaumbua watekaji, na kama kawaida yao Ccm wakaja na utetezi 'kipumbavu' eti kuingilia mawasiliano ya mtu ni kosa! Hivi huu ni upungufu wa umakini kiasi gani?????? Badala ya kuwaondoa watuhumiwa katika tope hili, eti kuingilia mawasiliano ya mtu ni kosa!!!!

Likafuata suala la kufukuzwa wabunge machachari wa Chadema bungeni, hili nalo kulikuwa na jinsi ya kulikwepa maana Spika wakati anasubiliwa awaondolee adhabu au kuikazia angekuja na kusema nimewasamehe na ninawaonya kwa kosa hilo. Angekuwa ameliuwa suala kisiasa, badala yake akakazia hukumu na vijana wakaingia mitaani wakaomba huruma ya wananchi na kweli wakaipata. Ukidadisi maoni ya watu wanasema baada ya kuua uhuru wa vyombo vya habari na mahakama sasa wameliua bunge.

Kiwewe kikaendelea kwa suala la Lema, ujinga, ujinga, ujinga juu ya ujinga!!!!

Chama hiki kina washauri? Washauri wenyewe ni kina Nape na Mwigulu? Kama ni hao chama kimefilisika kiasi hicho?
Akina Mangula na Kinana wanakuwa wapi wakati chama kinafanya makosa ya kijinga na kitoto namna hii?

kwa maneno ya kimichezo tunasema CCM INAFUNGA GOLINI KWAO.

Na hii ni matokeo ya ulevi wa vijimadaraka,pesa na jina la Mheshimiwa...ha ha haaa!
 
CCM wanapepereka wanajikuta wanatoa promo kwa chadema.
Kwenye kampeni za udiwani zinazoanza kesho sisi chadema kampeni yetu ni kuwakumbusha wapiga kura ushetani wa ccm ili tukiadhibu chama hichi kwa kipigo cha mbwa mwizi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
CCM wamesaidia sana kuenea kwa CHADEMA kwa siku za karibuni...
Hata vijijini ambako walikuwa hawaisikii CDM, siku hizi imekuwa ndiyo stori za vijiweni kwa sababu ya kazi kubwa inayofanywa na Nape na Mwigulu...

ugaidi
 
Wenye akili zetu tunawaangalia tu hawa ccmaiti wanavyokosa mwelekeo.

Na muda huu bado tumewaweka ccm na serikali yake kwenye kilo kuhusiana na suala la mlipuko wa bomu Arusha, maana suala hilo hadi sasa linaelekea kufa kifo cha asili baada ya kuachiliwa huru kwa wale waEmirati.
Fanyeni kosa la mwisho enyi ccm, na tutaitumia vyema nafasi hiyo.
 
udini utawaua magwanda bila siraha ni ukichaa

Nani mdini, kati yetu? Suala la kuipromot chadema na dini yangu wapi na wapi? Usintafutie talaka nikaanza kuvaa mavazi ya eda mtoto wa mwanamke mwenzio mie.
 
Kabla ya mazingaombwe ya CD ya Rwakatare hali ya kisiasa ndani ya Chadema ilikuwa haileweki, kumbuka ndiyo kwanza walikuwa wametoka kwenye suala la akina Shonza na watu makini wanaofuatilia duru za kisiasa nchini walikuwa bado wanapima suala hilo uzito wake na madhara yake kama yangetokea.

Ccm sijui kwa kutokuwa na mipango makini au kukurupuka, au kiwewe wakaingia na CD! Chadema sijui kwa umakini au kwa bahati wakalifanyia kazi vizuri sana. Kwanza Mbowe alilibeba vizuri sana kwenye mikutano ya kuzindua kanda, nakumbuka mikutano yake ya Mbeya na kanda ya ziwa alilieleza kwa hisia na kuwajaza watu hasira kwa kuwaaminsha kwamba Ccm inateka watu na kuwaumiza kiasi kile kwa faida za kisiasa.

Kiboko yao alikuwa ni Marando Mabere alipowaumbua watekaji, na kama kawaida yao Ccm wakaja na utetezi 'kipumbavu' eti kuingilia mawasiliano ya mtu ni kosa! Hivi huu ni upungufu wa umakini kiasi gani?????? Badala ya kuwaondoa watuhumiwa katika tope hili, eti kuingilia mawasiliano ya mtu ni kosa!!!!

Likafuata suala la kufukuzwa wabunge machachari wa Chadema bungeni, hili nalo kulikuwa na jinsi ya kulikwepa maana Spika wakati anasubiliwa awaondolee adhabu au kuikazia angekuja na kusema nimewasamehe na ninawaonya kwa kosa hilo. Angekuwa ameliuwa suala kisiasa, badala yake akakazia hukumu na vijana wakaingia mitaani wakaomba huruma ya wananchi na kweli wakaipata. Ukidadisi maoni ya watu wanasema baada ya kuua uhuru wa vyombo vya habari na mahakama sasa wameliua bunge.

Kiwewe kikaendelea kwa suala la Lema, ujinga, ujinga, ujinga juu ya ujinga!!!!

Chama hiki kina washauri? Washauri wenyewe ni kina Nape na Mwigulu? Kama ni hao chama kimefilisika kiasi hicho?
Akina Mangula na Kinana wanakuwa wapi wakati chama kinafanya makosa ya kijinga na kitoto namna hii?

Kwa kifupi

Mangula anapata massage kutoka kwa dogo dogo yake, na haneymoon mpkaka mwakani.

Kinana anajikosha na kashfa ya Tembo

Big up nape na chemba
kazi ni kwenu
 
CCM wamesaidia sana kuenea kwa
CHADEMA kwa siku za karibuni...
Hata vijijini ambako walikuwa hawaisikii CDM, siku hizi imekuwa ndiyo
stori za vijiweni kwa sababu ya kazi kubwa inayofanywa na Nape na
Mwigulu...

kabisa kwa sasa wananchi wanaamini cdm wanaonewa na kubambikiwa kesi hata wabambikiwe kesi gani watapuuza tu.
 
Hivi Mwigulu yupo hapa Tanzania.?
Maana simsikii bungeni uraiani hata kwenye mitandao.!!
 
anadharula jimboni kwake si unajua jamaa yupo karibu na wapigakura wake sio kama mbowe kila siku mwongozo tu.
 
Chama hiki kina washauri? Washauri wenyewe ni kina Nape na Mwigulu? Kama ni hao chama kimefilisika kiasi hicho?
Akina Mangula na Kinana wanakuwa wapi wakati chama kinafanya makosa ya kijinga na kitoto namna hii?
hiki chama bila kurudi mikononi mwa wazee basi CDM inachukua nchi kiulaini kabisa; sasa na sisi tusiandike andike hivi maana tuta-wastua mapema.
 
Back
Top Bottom