Kwa Kapanda juu kidogo bei sh mil 3
Nahitaji hicho cha milioni 3 mkuu pia kiwe kimepimwa na nataka maeneo ya mbezi beach Dar.
Hapa kwa Kapnda ni karibu na Litapwasi Songea Vijijini ndio bei hiyo kama uko tayari niambie tumalize biashara hi..
Nahitaji hicho cha milioni 3 mkuu pia kiwe kimepimwa na nataka maeneo ya mbezi beach Dar.
Watu mna ndoto za ajabu sana!!

Wandugu kwa makadirio ya sasa kiwanja cha 40X40 naweza kupata wapi kwa bei nzuri na ya chini kabisa.?
Hakika.....
[TABLE="width: 95%, align: center"]
[TR]
[TD="width: 26%, align: center"][/TD]
[TD="align: left"]Ref.: 108A Mbezi Beach - Dar es Salaam
for Sale
2000Sqm located at Rainbow,Mbezi. It`s the second plot from the beach. Easily accessible.... view more information
400,000,000 TzSh
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hahahah....kuna raia mna masikhara sana!! si ajabu hapo ukataka na chenji ibaki
Nahitaji hicho cha milioni 3 mkuu pia kiwe kimepimwa na nataka maeneo ya mbezi beach Dar.
Sasa Mkuu mtu anauliza bei ya kiwanja bila kusema ni mkoa au maeneo gani anataka, unadhani bei ya Songea ni sawa na ya Mwanza? ndiyo maana nikaingiza utani huo. Yeye anauliza bei kwa mkoa gani, maeneo gani, chenye hati au kisicho na hati. Nadhani mtakuwa mmenielewa sasa.
Wandugu kwa makadirio ya sasa kiwanja cha 40X40 naweza kupata wapi kwa bei nzuri na ya chini kabisa.?