Babu wa Loliondo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 323
- 106
Hii shule kama sipo wrong ipo chunya mbeya, but am not so much sureHabari wana jamvi,
Nina dogo langu kachaguliwa kwenda hio shule,nimefanya utafit sijafanikiwa kuifaham vizuri japo napata faraja matokeo ya nyuma ya shule sio mabaya,yeye kachaguliwa HGL,
Nani ana ufaham zaid kwa hali ya sasa ya shule hii.
Nitashukuru sana,naomba kuwasilisha
Google. Ila kumbuka Serikali imepiga marufuku kuhamisha shule wanafunzi.Habari wana jamvi,
Nina dogo langu kachaguliwa kwenda hio shule,nimefanya utafit sijafanikiwa kuifaham vizuri japo napata faraja matokeo ya nyuma ya shule sio mabaya,yeye kachaguliwa HGL,
Nani ana ufaham zaid kwa hali ya sasa ya shule hii.
Nitashukuru sana,naomba kuwasilisha
Yes,shule iko chunya mkoa wa mbeya hujakosea mkuuHii shule kama sipo wrong ipo chunya mbeya, but am not so much sure
No hahami mkuu,ila nataka tu kujua hata kwa juu juu hii shule ikojeGoogle. Ila kumbuka Serikali imepiga marufuku kuhamisha shule wanafunzi.
Asannte kwa maelezo mazuri,Nilisoma hapo O level, ipo wilayani Chunya mkoani Mbeya, ni umbali wa kilometers takribani 70 toka jijini Mbeya, barabara ya kwenda huko ni ya lami na nauli ni shilingi elfu NNE. Shule ipo barabarani kabisa hivyo atashukia shuleni (asifike Chunya mjini kama ametokea Mbeya mjini maana atakua ameipitiliza shule). Kwa advanced level ni ya wavulana lakini O level ni mchanganyiko. Matokeo yake kwa kidato cha sita (advance) ni mazuri kwaiyo namshauri akakazane atatoka. Karibu Chunya, (mwinzaje ...... maana yake karibu kwa kabila la kisafwa)
Asannte kwa maelezo mazuri,
Zaidi ya HGL ina mchepuo gani mwingine kama wa sayansi au art.
Nashukuru ndugu mpaka hapa umenipa mwanga,ngoja nimwandalie vifaa husika aende shule tu,hakuna namna akakomae tu.Mbali na HGL, kuna HGK na CBG. zingine (kama zipo) sijui maana niko mbali kidogo na Chunya kwa sasa so najua vitu vichache tu. Hizo nilizozitaja nina uhakika nazo.
Joining instruction inapatikanaje?Nashukuru ndugu mpaka hapa umenipa mwanga,ngoja nimwandalie vifaa husika aende shule tu,hakuna namna akakomae tu.