Kiwanja kinauzwa Kimara Suka maeneo ya Golani millioni 16 kuna vyumba viwili choo na jiko vimeishia kwenye rental, kalo la choo lipo tayari maongezi yapo kwa anaye hitaji.huduma ya maji na umeme zipo. Kwa mawasiliano zaidi 0713626665. Watsup number 0768265518 ukiwa unahitaji picha za kiwanja
Last edited: