Kiwanja njiro arusha kinauzwa

Kiwanja njiro arusha kinauzwa

JBN

Member
Joined
Mar 4, 2012
Posts
84
Reaction score
15
Kiwanja kipo njiro arusha eneo la kwa masista block J kinaukubwa wa 15 kwa 25 na kina hati miliki (title deed), na udongo wa ardhi hiyo ni mwekundu. Bei ni shilingi miliono thelathini (30,000,000/=) kwa mawasiliano nipigie namba 0768- 91-36-94
 
Hivi Njiro ni kama maeneo gani kwa Dar?
 
Mkuu elezea kidogo kwa masista ndio wapi kwa njiro siyo wote tunaijua vizuri wengine mwisho wao nanenane sasa kwa masista ni upande gani?
 
heee hiki kiwanja kumbe bado kipo... nakumbuka the same was posted here like six months ago.. i was interested bak then!
 
ulisoma kiwanja kingine sio hichi, ni jana ndio kimewekwa humu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom