MANAKE MKARI
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 322
- 270
Kiwanja
Kiwanja kipo Hondogo (Kwa Pongw'a) - DSM. Unaingia Kibamba njia ya shule (kulia ukitokea Ubungo). Nauli ya bodaboda ni sh. 1,000 - 1,500. Kina mwinuko kidogo. Vipimo vyake ni 26 x 35 x 29 x 45 (mita). Bei ni 7.5 M. Kuona: 0652772167.
Shamba
Shamba lipo Mlandizi (Matuga - Mtego wa simba). Unaingia Mlandizi upande wa kushoto ukitokea Kibaha. Nauli ya bodaboda ni 3,000. Ukubwa ni heka 2.5 (mbili na nusu). Shamba lipo kwenye barabara kubwa ya kijiji na ni tambarare. Bei ni 5 M. Kuona: 0658971784.
Haya maeneo ni yangu na hakuna dalali.