kiongozi mimi nilitaka nikaone eneo nimepiga voda# ikapokelewa na mdada flani lakini maelezo yake ayajanishawishi.....jaribu kuweka details zaidi za mmiliki alali wa eneo <aridhi> husika.kama eneo limepimwa itakuwa vizuri nikijua au kama kuna hati ya serikali ya kijiji ....thanx