Kiwanja na majengo mawili vinauzwa.

Kiwanja na majengo mawili vinauzwa.

king'amuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
614
Reaction score
225
KIWANJA NA MAJENGO MAWILI VINAUZWA.
Kiwanja kizuri 1432square metre, kipo mita 40 tu kutoka Barabara ya Kilwa, Jirani na Kiwanda cha Nguo cha Karibu Textile Mills Ltd, Mbagala. Kina nyumba moja ya makazi yenye vyumba 3 na Sebule, Jiko la nje, Choo cha Kisasa, Shimo kubwa la maji taka, eneo kubwa la wazi, pia kina Jengo kubwa linalofaa kwa matumizi ya Ukumbi mdogo, darasa au Ghala( liningia watu 200). Kiwanja kina Leseni ya makazi, Majengo yote ni mapya, yamejengwa kwa ubora, yana umeme, mtandao wa maji upo jirani. Eneo linafaa kwa matumizi yoyote ya uwekezaji. Kwa mhitaji, wasiliana na mwenye mali kwa simu namba 0713 691620
Bei 150 million Maelewano yapo.Siitaji dalali.
unaweza angalia picha ya majengo hapaView attachment ON SALE 2.pdf karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom