Kiwanja na Go-down Ndogo for Sale-M/Chai Arusha

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,492
Reaction score
1,304
Land and small Go-down available for immediate sale in Arusha..Plot iko located close to Moshi-Arusha Road,eneo la M/Chai.Lina eneo la mita 90X30 pia ina nyumba ndogo ya mfanyakazi.Nyumba na godown ina maji na umeme wa LUKU,Go-down pia ina ofisi ndogo ndani.eneo lipo karibu na barabara na ni sehemu inayoendelea kwa kasi,inafaa kufanya kama makazi na pia biashara.Eneo limezungushiwa fence ya mabati upande mmoja na upande mwingine ni fence ya Grevilia,eneo lipo karibu na mto na lina miti ya kutosha na mashimo mawili ya choo yaliyochimbwa.
Asking for 65 Million Tshs or Best offer.
Kwa atakayekuwa interested kuona na kununua tafadhali aniPM.
Serious buyers only....No Agents/Dalali needed.
Cc: Roulette, Amavubi watu8 Arushaone , Bigirita , MWANAKIjiji , lara1 , Zinduna , MziziMkavu , Osaba Erickb52 , Mtambuzi , Puppy , Mwali , matwi , Gugwe , KITOMONDO , Jazmine , MARIBORO , MCHONGANISHI , kukucd , Preta , TECHMAN , vaikojoel , Vene , LIKUD .

Picha kadhaa zinapatikana hapa: https://drive.google.com/folderview?id=0B8reS8FdgoVZUDBEc0ZYZERzV00&usp=sharing
 
Last edited by a moderator:
niko njiani tokea kilimanjaro airport to arusha city, nitapitia hapo kuangalia the place kama tunaweza ongea biz
 
hapo ndio umeniacha hoi sana
Land and small Go-down available for immediate sale in Arusha..Plot iko located close to Moshi-Arusha Road,eneo la M/Chai.Lina eneo la mita 90X30 pia ina nyumba ndogo ya mfanyakazi.Nyumba na godown ina maji na umeme wa LUKU,Go-down pia ina ofisi ndogo ndani.eneo lipo karibu na barabara na ni sehemu inayoendelea kwa kasi,inafaa kufanya kama makazi na pia biashara.Eneo limezungushiwa fence ya mabati upande mmoja na upande mwingine ni fence ya Grevilia,eneo lipo karibu na mto na lina miti ya kutosha na mashimo mawili ya choo yaliyochimbwa.
Asking for 65 Million Tshs or Best offer.

Kwa atakayekuwa interested kuona na kununua tafadhali aniPM.
Serious buyers only....No Agents/Dalali needed.
Cc: Roulette, Amavubi watu8 Arushaone , Bigirita , MWANAKIjiji , lara1 , Zinduna , MziziMkavu , Osaba Erickb52 , Mtambuzi , Puppy , Mwali , matwi , Gugwe , KITOMONDO , Jazmine , MARIBORO , MCHONGANISHI , kukucd , Preta , TECHMAN , vaikojoel , Vene , LIKUD .

Picha kadhaa zinapatikana hapa: https://drive.google.com/folderview?id=0B8reS8FdgoVZUDBEc0ZYZERzV00&usp=sharing
 
inahamishika?

Ni eneo zuri nalifahamu na kwa biashara ni very potentila ukichukulia kuwa this october NHC wanaanza ujenzi pale shamba la maua Hortanzia
 
jirani na mwekezaji!!! mhhhh
 
Back
Top Bottom