chanika holdings
Member
- Mar 16, 2014
- 25
- 3
Hakijapimwa,kina umbo la pembe tatu,kiko karibu na barabara kuu,pia karibu na kituo cha daladala,unaweza jenga nyumba kubwa bila matatizo,gari mpaka uwanjani,kiko eneo la Mvuti,unaweza pita njia ya chanika au mbagala,ni eneo tambalale na kuna majirani,bei haina maongezi wala sihitaji dalali.
Tel: 0656 33 50 33 / 0687 97 87 51

shikamoo mwalimu!tambalale = tambarare
Sasa pembe tatu utatengezea sambusa au???