...i dont think if it is reasonable, just cross check places (posts) here in JF utaona bei za viwanja vya size hiyo, size mbalimbali na location zake then you will take it from there.
u reasonable wa bei unategemeana na location yenyewe ya kiwanja, mazingira yanayoizunguka, miundombinu na huduma muhimu za kijamii zilizopo maeneo ya husika. Hivyo kwa wewe ambaye umefika location husika utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kupima!
Hiyo mil 5 yako nenda "kiaraka" ni mbele kidogo ya bunju utapata eneo kubwa achana na 20*20 mm nimepata kiwanja chenye mita 35*35 kwa ml 7 ni eneo kubwa liko tambalale umeme ndio wanaweka maji ya dawasco yapo

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.