kiwanja mbezi beach

kiwanja mbezi beach

mfetere

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
251
Reaction score
95
Habari wadau wa jf kunakiwanja kinauzwa mbezi beach upande wa samaki kwa juu kidogo 35×25 kwa iliye serious 0714787795 pia pm namba yako kama utahitaji picha umeme na maji mpaka mlangoni mwenye kiwanja yupo hapo hapo.
 
Utakuwa mgeni humu JF,ngoja wenyewe waje wakute haujaweka bei halafu uone
 
Jamani ndo maana nimeweka namba za simu mteja anaonekana tu
 
Namba za Simu ndio Bei?
Unaficha nini kuweka bei?
Wewe utakua dalali tu, sasa unaogopa mwenye kiwanja akijua umeweka cha juu kikubwa atampa hiyo tenda mtu Mwingine!!
 
Shark namba hiyo piga hapo hata sijaweka cha juu coz mteja anatoa 10% kama akinunua so hakuna haja ya kuweka cha juu bei ni mil 35 tu.
 
Last edited by a moderator:
Habari wadau wa jf kunakiwanja kinauzwa mbezi beach upande wa samaki kwa juu kidogo 35×25 kwa iliye serious 0714787795 pia pm namba yako kama utahitaji picha umeme na maji mpaka mlangoni mwenye kiwanja yupo hapo hapo.

mfetere hicho kuwanja kina hati au
 
mrangi hakina hati coz ni kama farm anaeneo kubwa ameshauza viwili kimebaki kimoja na kama unamwanasheria wako safi kabisa mm pia naishi hapahapa mbezi beach
 
Last edited by a moderator:
Shark namba hiyo piga hapo hata sijaweka cha juu coz mteja anatoa 10% kama akinunua so hakuna haja ya kuweka cha juu bei ni mil 35 tu.

Kaka,
Vitu kama Kiwanja kuna details muhimu umeacha bado.

Mfano ukitokea barabarani (Bagamoyo Road) pana umbali gani?
 
Last edited by a moderator:
Kweli wewe sio mteja unauliza maji na umeme mbezi beach na hata kwenye post yangu nimeandika
 
mkuu jibu maswali tufanye maamuzi sahihi,.

Kwani mteja ana maswali ya aina gani???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom