Mkuu Bei Ni 9.ml Eneo Hili Lipo Mkabala Na Stendi Mpya Tarajiwa Ya Bombambili Majohe,kwa Hiyo Ni Muafaka Pia Kwa Biashara,pia Shukran Kwa Ufafanuzi Wako Wakitaalamu,bei Pia Inaongeleka14 * 13 = 182sqm , ili ujenge unahitaji kuacha 3m mbele na 1.5m kwenye other sides, tuchukulie marefu ni 14m na mapana ni 13m , kwenye marefu unatoa 4.5m unabakia na 9.5, kwenye mapana unatoa 3m unabakia na 10m, eneo la kujenga linakuwa 9.5m * 10m = 95sqm, hapo kama unaamua kujenga box, ukianza kuweka mbwembwe inakula kwako! 9.5million?????
Kiwanja Tajwa kipo bombambili majohe kina tofali 2000 kalo la choo limejengwa tayar,pia kunamchanga lori 2 Kinahati Ya Selikali Ya Mtaa ,hakuna Dalali Piga No.0762682480
majohe ndio Mawapi,ni arusha au dsm. umbali toka town ukoje,,,mi niko dsm
Bombambili Majohe ni Songea au ]
Ni I lala Dsm Ndugu Mtaa Bombambili Kata ya Majohe