Kiwanja kipo Nganza Ya Luchelele bei poa sana

Kiwanja kipo Nganza Ya Luchelele bei poa sana

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
883
habari wakuuu kiwanja chenye ukubwa wa square 1200 kipo eneo zuri sana kipo barabara kuu ya kuelekea ziwani huduma za kijamii zote zipo maji umeme hosp schoos
kiko barabaran kinafaa kwa makazi na biashara Yaan kumechangamka ukiweka frem za biashara na ukajenga nyumba ya biashara unapiga bingo kimepimwa documents zote halali zipo bei ni milion sita tu kwa maelezo zaidi whasapp 0763772636
IMG20190806115441.jpg
IMG20190806115748.jpg
IMG20190806115921.jpg
IMG20190806115924.jpg
 
Huko bwawani ndo wapi mkubwa au mkoa gani ebu fafanua vizuri tangazo lako
 
[emoji654] "kiwanja chenye ukubwa wa square 1200"..???

[emoji654] "huduma za kijamii zote zipo maji umeme hosp schoos" ..???

[emoji654] "ukiweka frem za biashara na ukajenga nyumba ya biashara" ..???

[emoji654] "kimepimwa" ...???

=========================

Kiwanja kina sifa kedekede na uzuri kma huo, sasa umepaniki nini kama ni kweli?

1. Ukubwa 1200 square (mm, cm, m, km)??
2. hosp schoos (ndo vi nini?)
3. Kimepimwa (je ni plot # ngapi eg 180, Block gani? eg "D", LOT gani? eg 89444)
 
habari wakuuu kiwanja chenye ukubwa wa square 1200 kipo eneo zuri sana kipo barabara kuu ya kuelekea ziwani huduma za kijamii zote zipo maji umeme hosp schoos
kiko barabaran kinafaa kwa makazi na biashara Yaan kumechangamka ukiweka frem za biashara na ukajenga nyumba ya biashara unapiga bingo kimepimwa documents zote halali zipo bei ni milion sita tu kwa maelezo zaidi whasapp 0763772636View attachment 1174096View attachment 1174097View attachment 1174099View attachment 1174100
Unakimbizwa na nani? Weka bei tujue.
 
Back
Top Bottom