Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa

Mungu Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
1,474
Reaction score
1,088
Ndugu wana Jamii Forum; Ninauza kiwanja/Plot eneo la Mwananyamala A, Nyuma ya Hospitali ya Mwananyamala. Kiwanja ni kizuri kwa ujenzi wa makazi na Biashara. All legal Documents ziko mikononi zinasubiri wateja tu. Kwa wale ambao wangependa kufika na kukiona wawasiliane nami kupitia 0714105294. Sihitaji dalali
 
Piga simu kwa namba hiyo. Bei ni maelewano. Karibuni sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom