Nilangu,sababu ninahitaji some cash haraka. Ndiyo maana bei iko nusu ya bei wanazouza wengine pale
Maji yapo ya visima,dawasco magari Lita 1000 kwa 10,000 pia mabomba ya dawasco yamekaribia kufika.Umeme nguzo inapakana nakiwanja so unashusha waya tu.
Karibu kwa mwenye uhitaji Wa kiwanja Dar es Salaam,kipo Salasala-Kinzudi.Ukubwa square mita 800, umeme upo na nguzo ya umeme iko jirani kabisa na kiwanja.Pamejengeka na nieneo linalokuwa kwa kasi.Hakijapimwa ila mchakato umeshanza tunapima wakazi Wa eneo kwa pamoja natumesha changa hela kwa hatua ya awali. BEI milioni 12.
0769 222 882
Pia twaweza zungumza kwa wale wa sqr mita 400.
Siyo kingine nihicho hicho mtoa tangazo mmoja iweje kiwe kingine sema post nyingine labda.
hizo picha nimeona unazitumia kunadi kiwanja cha goba huku watuambia kiwAnja kipo salasala which is which?