Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa

Jamani hamtaki kuninunulia hichi kiwanja? , nipeni millions 4 tu, nikatatue shida zangu
 
ulifanya kosa mwanzoni kabisa ulipoweka tangazo, ulitoa majibu ya jeuri na inawezekana miongoni mwa uliowajibu wangeweza kununua ukumbuke wakati mwingine kuwa muungwana kwa unaowajua pamoja na usiowajua.
 
Sijaona sehemu nilojibu jeuri mkuu, ila members wenyewe hawapo serious, jokes nyingi mno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom