Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa

Samahani ndugu, kama ni Biashara ya kweli na unahitaji mnunuzi naomba radhi, nisamehe ndugu. Kuna makachero wengi sana humu wakijibandika kila aina ya kofia. Kila la kheri ktk kupata mnunuzi..samahani sana.
Sawa
 
Hakukuwa na haja ya kumtaja wazir wa fedha. Provided mawasiliano yapo
 
Habari,

Kiwanja kinauzwa, kipo karibu na kwa waziri wa fedha.

Kipo karibu na barabara,30×40.

Bei ;million 6, punguzo lipo.

Mawasiliano; 0786 382988.


Kwa walio serious tu.
Huyu ni waziri wa fedha wq nchi gani?
 
Nipeni pesa kiwanja kipo
 
Kiwanja bado kipo wakuu
 
Sikawii kukinunua halafu baadae Mh. Mpango akaja kunihamisha akaniambia nimejenga kwenye hifadhi ya bomba la gesi.
 
Ndo mana nimeweka Mawasiliano
Kwanini sasa unatuambia kuhusu kiwanja? Ungeandika namba ya simu basi tukikupigia ndio uanze hayo maelezo ya waziri. Au waziriwa fedha ni moja ya kivutio?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom