Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa

[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] humu ndani kuna mambo
 
JF raha sana kunavwatu wanavichwa vigumu kuelewa kama panzi kila siku watu wanaeleza namna ya kuandika matangazo lakini watu wanarudia ujinga uleule daily.Sasa inabidi itolewe semina elekezi
 
hata ukiuza 2mil nani atakaeshawishik ikiwa tangazo tu lenyewe lina mushkeri..
 
Watu wa usalama hawa wanakuja na gia yao mpya ya kuwagundua watumiaji wa huu mtandao. Wameshindwa kuwatambua watu wanaowatafuta humu kwa kwa wanakuja na gia hii kuuza kiwanja kilichopo karibu na Waziri wa fedha! My foot! Ukimpgia simu tu bado id yako wanaifunua. Be careful ndugu zangu! Mijitu ya TISS imejaa kila kona humu. Hiyo namba ya simu aliyoiweka huenda ni ya kitengo.
 
Habari,

Kiwanja kinauzwa, kipo karibu na kwa waziri wa fedha.

Kipo karibu na barabara,30×40.

Bei ;million 6, punguzo lipo.

Mawasiliano; 0786 382988.

Kwa walio serious tu.
Hahahaaa magufuli kabana kweli kila mtu anajaribu kua dalali
 
Watu wa usalama hawa wanakuja na gia yao mpya ya kuwagundua watumiaji wa huu mtandao. Wameshindwa kuwatambua watu wanaowatafuta humu kwa kwa wanakuja na gia hii kuuza kiwanja kilichopo karibu na Waziri wa fedha! My foot! Ukimpgia simu tu bado id yako wanaifunua. Be careful ndugu zangu! Mijitu ya TISS imejaa kila kona humu. Hiyo namba ya simu aliyoiweka huenda ni ya kitengo.
Usichafue biashara za watu, nakuomba kaa kimya
 
Huyu jaama bwnaa Eti waziri wa Fedha[emoji16]
Sehemu au mtaa kunaitwa kwa waziri wa fedha, au hujui kuna sehemu zinaitwa kwa rais?, sehemu zote zinasoitwa posta je kuna posta pale?
 
Usichafue biashara za watu, nakuomba kaa kimya
Samahani ndugu, kama ni Biashara ya kweli na unahitaji mnunuzi naomba radhi, nisamehe ndugu. Kuna makachero wengi sana humu wakijibandika kila aina ya kofia. Kila la kheri ktk kupata mnunuzi..samahani sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom