Kiwanja kinauzwa

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,060
281
Kipo Mbezi Beach karibu na flats za BOT barabara ya chini old bagamoyo. Kina ukubwa wa sqmt 384. Bei 55mil. Tuwasiliane kupitia simu no 0717114409
 
Mbona kiwanja kidogo sana na bei ni kubwa sana? Bei hiyo kubwa sana kwa kiwanja cha 19. 6 m x 19.6 m yaani sqm 384. Kingekuwa angalau 40 m x 40 m ningewazia kukupigia. Waweza shusha hadi angalau sillingi millioni 15 au 10,000 US dollars?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom