Ajira Tanzania
Member
- Feb 8, 2017
- 79
- 27
- Thread starter
- #21
We jamaa una nini?Acha auze mkuu, anadhan zile za oooh hapa panafaa shely sijui, hazipo tena! Hiyo kijichi ndio viwanja cheap kweli kweli toka warab wasumbuliwe madawa ya kulevya na kuswekwa ndani waje zao wanauza viwanja bei chee sana ili kuwakomboa waume zao!