mbezi beach afrikana njia ya kwenda kwa barikiwe.

No ya nyumba ni, kund/sal/409

Kwa watu ambao wameishi Dar,

Hii ni kunduchi/salasala

Kwa nini unadanganya kuwa kiwanja kipo mbezi beach, haipendezi.
kuna view nzuri ya baharini.

Tupo pamoja Shadya, umesahau na kuwaambia pia kuna view nzuri sana ya maporomoko ya ardhi hasa wakati wa mvua.

itakuwa wewe huijui mbezi beach vizuri, no. Za huku juu kama unaenda salasala ndo zilivyoandikwa hivyo, labda useme sisi wakazi hatujui tunakokaa maana mimi ndio nakaa nyumba ya tatu kutoka kiwanja hicho.
we nawe...Tupo pamoja Shadya, umesahau na kuwaambia pia kuna view nzuri sana ya maporomoko ya ardhi hasa wakati wa mvua.

Hichi kiwanja kipo kund/sal hii ni kunduchi salasala na siyo mbezi beach, to make the matter even worse kiwanja kiko pembeni ya shule ya msingi salasala.
we nawe...

Vitu muhimu katika mambo ya kiwanja ni Kimepimwa?

Ukubwa?

Maji?

Umeme?

Neighborhood?
Kupimwa je?shark, hapo umezungumza best na umeme wake ni ule wa wazo hill, ingawaje hilo banda halina umeme yaani hiyo line inapita hapo.
MJ, sikuhizi wakazi wote wa Mbezi baada ya Lugalo wanajiita wa Mbezi Beach! wakimaanisha Dar kuna Mbezi mbili ile ya Kimara na hii ya Beach , jee umeshasikia Tegeta Beach? nako ni Mbezi Beach.Kwa watu ambao wameishi Dar,

Hii ni kunduchi/salasala
Kwa nini unadanganya kuwa kiwanja kipo mbezi beach, haipendezi.