Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 5,639
- 8,325
Mm ningekuwa na walau 2 m ningekucheki nashangaa watu mpaka dakika hii hawajakinunua. Kwa nn usiache kuuza ukatata pesa kwa njia nyingine?
OkayKigamboni
Sawa mkuuKaribu mkuu
Mteja kwa jamii forum huwez kutoboaNilikuwa sijakiweka sokoni bado nitafutie mteja mkuu
Although unatakiw uwafkie watu wenye demand. Jf kibiashara sion kama ni sehem sahihiNi kweli mkuu kwa Id fake nani atakuamini
Huu sio mtego kweli ,isijekua ni makazi ya mafurikoKigamboni
Ni cha kwako mwenyewe?? Au wewe ni dalali