ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
KHEEE MKUU MBONA UMESHANGAA NI266 SQM NI FEKI AU ZIKOJE MKUU?226sqM? Daaah
KHEEE MKUU MBONA UMESHANGAA NI266 SQM NI FEKI AU ZIKOJE MKUU?226sqM? Daaah
Kwanza asante kuni-quote; nina kitambo sijawa quoted na keKHEEE MKUU MBONA UMESHANGAA NI266 SQM NI FEKI AU ZIKOJE MKUU?
Kwanza asante kuni-quote; nina kitambo sijawa quoted na ke
Mkuu SqM226 ni sawa size ndogo ndio mana nashangaa! Niliwahi kua na sqM 826 nikaona ndogo sasa hiyo 226 daaah
Mkuu we ni Pm tuongee kuna plot next to mine naweza kukuconnect ukawa jirani yangu hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa umetusahau akina ke siye ahaya bwana
kumbe ni size ndogo ya kiwanja mm nikadhani ni kubwa kumbe ningeingia chaka aisee asante kunijuza mkuu
huko mwanza hakuna viwanja nahitaji mkuu wangu ila usinipige mkwanja maana naskia huku watu wanalizwa sana
aisee itakuwa njema sana tukiwa majirani sasa hiyo plot inakwenda kwa bei yake na ina ukubwa gani maana nataka kujenga kaghorofa ujue hahahahahhaaaaaaaMkuu we ni Pm tuongee kuna plot next to mine naweza kukuconnect ukawa jirani yangu hahahaha
Nitakutafutaaisee itakuwa njema sana tukiwa majirani sasa hiyo plot inakwenda kwa bei yake na ina ukubwa gani maana nataka kujenga kaghorofa ujue hahahahahhaaaaaaa
Duhhh,hahaha,mkuu Msigwaaaaaaa,haya bwanaaaNitakutafuta
Mkuuu sema tu usigune, karibu beerDuhhh,hahaha,mkuu Msigwaaaaaaa,haya bwanaaa
mil 60 kamanda...kusu ukubwa wa eneo kwa vipimo sijavi master vizur....but eneo ni kubwa Sana. eneo la parking na nyumba kubwa ipo ya kutosha.
Roughly ni 18m x 15m...!226sqM? Daaah
Kipo mku njooKIPO MPAKA LEO HICHO KIWANJA AU KIMESHAUZWA MKUU NAMBIE NAHITAJI SANA KIWANJA MKUU