jtwentytwo
Senior Member
- Apr 7, 2015
- 194
- 26
Sasa mtazungumza nini hata bei hujaweka?
Bugando kiwanja kitoke wapi? sema unauza eneo.
Hata mimi ninacho kimoja nauza. Kipo makutano ya Samora na Makunganya, bei ni nafuu.
Taja bei boya wewe kana inashawishi watakufuata pm kubagain!
braza utatajiwaje bei kitu hujakiona come and see it then maswala ya bagainning yafuate
kiwanja kipo maeneo ya bugando karibu kabisa na hospital ya bugando jijini mwanza.Kiwanja kimepimwa na kina hati miliki.kipo karibu na nguzo ya umeme pia kuna njia ya gari hadi kwenye kiwanja.pia kipo jiran na city center ya jiji la mwanza.bei ni nafuu kabisa.kwa mazungumzo zaidi tuwasiliane kupitia simu namba hizi:
0768207248
0657137862
braza utatajiwaje bei kitu hujakiona come and see it then maswala ya bagainning yafuate
Sema bei acha ujinga! Siwezi kutoka dsm eti nakuja kuona kiwanja afu nina mawzo ya kiwanja cha miln4 au 8 afu nakuta kiwanja cha miln 50 kuja kwangu kutanisaidia nini? Utakuwa dalali wewe...!
hili eneo halipo kwenye miamba mkuuu ni flatHapo kwenye miamba?
Kiwanja kipo maeneo ya bugando karibu kabisa na hospital ya Bugando jijini Mwanza.Kiwanja kimepimwa na kina hati miliki.Kipo karibu na nguzo ya umeme pia kuna njia ya gari hadi kwenye kiwanja.Pia kipo jirani na City Center ya jiji la Mwanza.
Bei ni nafuu kabisa.kwa mazungumzo zaidi tuwasiliane kupitia simu namba hizi:
0768207248
0657137862
mkuu ni vizuri tukawasiliana ili ukione kwanza kisha ndo tuzungumze bei
mkuu hapo juu nadhani nimefafanua vizuri.nimesema ni kiwanja kimepimwa na kina hati miliki.sasa mambo ya eneo yametoka wapi na toka lini eneo likawa na vipimo na hati miliki yake?
mil 60 kamanda...kusu ukubwa wa eneo kwa vipimo sijavi master vizur....but eneo ni kubwa Sana. eneo la parking na nyumba kubwa ipo ya kutosha.
hili eneo halipo kwenye miamba mkuuu ni flat
Yani mtu aunguze mafuta ili kuja kujua bei? Be fair bwana, bora mtu ajue kbs km iko ndani ya bajetmkuu ni vizuri tukawasiliana ili ukione kwanza kisha ndo tuzungumze bei
226sqM? DaaahKiwanja kinauzwa maeneo ya airport ilemela mwanza. Ukubwa sqm 266. Bei 2ml. 0753101293
KIPO MPAKA LEO HICHO KIWANJA AU KIMESHAUZWA MKUU NAMBIE NAHITAJI SANA KIWANJA MKUUKiwanja kinauzwa maeneo ya airport ilemela mwanza. Ukubwa sqm 266. Bei 2ml. 0753101293