Kiwanja kinauzwa Mtwara Mangamba.

Kiwanja kinauzwa Mtwara Mangamba.

Sunshow

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
1,140
Reaction score
395
Ukubwa 20x25, eneo zuri sana. Maji yapo pia umeme umefika. Bei 7M.
 
Du umenikumbusha enzi zile Mtwara girls(Mangamba)
 
  • Thanks
Reactions: awp
mangamba nimegraduate miaka ya 92, nimefurahi kunikumbusha hilo jina? enzi ya mwl. Lyuki, myenga wa cookery
 
Ok, vp mkuu umesoma pale au ulikuwa unaenda kusalimia?
Pale nilikuwa naenda kucheza disko/rumba na totoz we acha tu enzi zile bana unadanganya form one na ushamba wao kwa kuwanunulia sukari na boflo
 
Back
Top Bottom