Kiwanja kinauzwa Morogoro

Kiwanja kinauzwa Morogoro

miley

Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
87
Reaction score
14
Kiwanja kipo Kihonda Morogoro kina offer. Ukubwa 600sq mita , huduma ya maji umeme ipo kimepimwa karibu na barabara. Bei maelewano, nipigie 0715500248. Au 0756171831
 
Hakuna bei iitwayo maelewano. Kiwanja ni cha kwako kinachokufanya kuogopa kutaja bei ni nini? Weka bei mkubwa otherwise huna haja ya kuuza
 
That's right man..Labda kama mtangazaji ni mchumia tumbo (Dalali)
 
Kiwanja kipo Kihonda Morogoro kina offer. Ukubwa 600sq mita , huduma ya maji umeme ipo kimepimwa karibu na barabara. Bei maelewano, nipigie 0715500248. Au 0756171831
Weka bei,unaogopa nini,au kiwanja cha familia inataka uwazidi akili wenzako?
 
Mkuu Mimi naweza kua mteja wako nicheki pm tuongee siwezi kupiga si kutokana na mazingira
 
Back
Top Bottom