Tembele
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 1,154
- 350
Nimenunua kiwanja hapa mbezi Goba, jamaa aliyeniuzia anauza pia viwanja viwili , kimoja ni 40 kwa 40 sh milioni 5, na kingine 30 kwa 35 millioni. 3. Kama kuna mtu anahitaji. Hakuna dalali hapo unaongea na mwenye kiwanja mwenyewe. Kwa kuwa mi kaniuzia kwa bei nzuri nimemuahidi kumtafutia wateja wa hivyo viwanja vyake vingine. Viko karibu na barabara na umeme upo. Kwa details 0755252087.
Updates:
1. Kiwanaja cha mil 3 kimeshanunuliwa. Kimebaki pia hicho cha millioni 5. Na pia
2. Vipo viwili (25 kwa 25) kila kimoja mil 6. Angalia picha ya kiwanja. Kiko karibu na barabara na Umeme.
Updates:
1. Kiwanaja cha mil 3 kimeshanunuliwa. Kimebaki pia hicho cha millioni 5. Na pia
2. Vipo viwili (25 kwa 25) kila kimoja mil 6. Angalia picha ya kiwanja. Kiko karibu na barabara na Umeme.