Kiwanja kinauzwa Mbezi juu, DSM.

Mama Joe

JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,504
828
habari wakuu, ndugu yangu anauza kiwanja ukubwa ni mita 22 x 25. Kipo mahali sio bondeni wala hakina slope sana, hakijapimwa bei 6 milion. Ni Mbezi juu unaingilia barabara ya Jogoo au kiwanda cha Chemicotex ila hufiki umbali wa baraza la mitihani. Wasiliana nae kwa simu 0715315145. Usini pm please siko uko kwasasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom