Kiwanja kinauzwa Mabwepande Bunju

Kiwanja kinauzwa Mabwepande Bunju

Playman

Member
Joined
Jan 1, 2021
Posts
67
Reaction score
18
Ukubwa mita 20 kwa 20 (400sqm).
Umeme Upo na barabara nzuri ipo.
Eneo limepimwa, hakuna mgogoro.
Bei Tsh 4Milioni.


Karibu 0742141467
IMG_20210327_115900.jpg
 
Ipo 2 million kama itakupendeza kiongozi
 
Kingine Kiwanja Kipo Mapinga Mbele kidogo ya Mbunju B, Kipo Umbali wa Mita 100 Kutoka Bagamoyo road.
• Kina Ukubwa wa Mita 30 Urefu kwa Mita 25 Upana.
• Bei ni Tshs 9 Milioni ( Inapingua).
• Kiwanja hiki ni Kizuri kwa makazi na biashara maana Kipo karibu na barabara kubwa.
• Mwenye Kiwanja yupo jirani ya kiwanja, hakuna longolongo

Piga: 0742141467
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom