Kwa mtu atakayependa mhakikishie kuwa hakuna mgogoro wa kiwanja hicho. Mimi nilishaumizwa mahali kwa staili hiyo, tena mkiti wa serikali ya mtaa, mtendaji na mjumbe wa nyumba kumi walinisainia wote. Lakini pia weka mawasiliano yako watu wakupate. Ni ushauri tu kwa sasa.
piga no hiyo 0712 85 66 82 hiko kiwanja hakina chenga kabisa mkuu ht km unahitaji ww njoo ukichukue tu na km unataka kwenda popote tuNDIKISHIANE twende
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.