Kiwanja kinauzwa Kisesa, Mwanza

Kiwanja kinauzwa Kisesa, Mwanza

DILA COSTER

Member
Joined
Dec 11, 2019
Posts
6
Reaction score
2
Ninauza kiwanja Million 10 nafungua majadiliano kwenye bei.

Kiwanja ni kikubwa kipo Kisesa eneo la Mwandulu. Urefu 42 na upana 36.

Kiwanja ni changu kimepimwa, upimaji shirikishi.

Kiwanja kimebakia katikati pekee, hakijajengwa majirani wote wamejenga tayari.

Kwa maelezo zaidi namba yangu ni hii muda wowote +255788067437

Asanteni

IMG_20191209_090918.jpg
IMG_20191209_090910.jpg
IMG_20191209_090829.jpg
IMG_20191209_085504.jpg
IMG_20191209_090044.jpg
IMG_20191209_090044.jpg

IMG_20191209_090914.jpg
 
Mkuu Kisesa unauza kiwanja cha ukubwa huo kwa hiyo bei? Ebu elezea potentiality ya eneo lako.

Ni kama ume-triple bei ya kuanzia.

Waiting.
Ni kikubwa kama ukionavyo na eneo limeisha jengeka lote kimebakia chenyewe tu ila usiogope Sana bei. Unaweza kuongea ulichonacho na tutajadiliana kama kuna uwezekano.

Asante.
 
kimepimwa? kina hati? siyo open space & soko? Km ngapi toka barabara kuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom