Kiwanja kinauzwa kipo kigambon mikwambe

Kiwanja kinauzwa kipo kigambon mikwambe

allysultani

Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
46
Reaction score
3
Kiwanja kinauzwa kipo kigamboni mikwambe kipo karibu kabisa na kwa mizengo pinda.kiwanja kina ukubwa wa.
Urefu-miguu 20 ya mtu mzima
Upana- pia miguu 20.
gari inafika mpaka kiwanjani
Bei ni milioni tano.maongezi yapo
Wasiliana nami 0656 25 18 74 ahsante.
 
Kuna umbali gani kutoka barabara kubwa ya lami? Na hivyo ni viwanja vya kienyeji sio? Vipi miundombinu iko iliyofika kama umeme na venginevyo?
 
nimeweka namba za simu hapo kama upo serias. Wasiliana nami 0656 25 18 74
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom