Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibamba kwa Mangi

Sonship

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2021
Posts
333
Reaction score
404
KIWANJA KINAUZWA – KIBAMBA KWA MANGI, UBUNGO

Unatafuta kiwanja kizuri kwa ajili ya makazi au uwekezaji? Hiki ndicho fursa yako!

Mahali: Kibamba Kwa Mangi, Wilaya ya Ubungo
Ukubwa: Meta 20 × 25
Bei: TSh Milioni 14 tu (maongezi yapo)

Umeme upo karibu
Maji yapo karibu
Barabara ya gari inafika moja kwa moja hadi kwenye kiwanja
Umbali wa takribani km 1.5 kutoka lami ya Morogoro road
Bodaboda: Nauli TSh 1,000–1,500 tu

Wahi kuwasiliana sasa:
0675 065906


​
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…