Kiwanja kinauzwa Kawe Dar es salaam

Kiwanja kinauzwa Kawe Dar es salaam

John Gelas

Senior Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
168
Reaction score
7
Habari wadau? Kiwanja kinauzwa kipo vizur sana kipo Kawe Dar niko serious mwenye kuitaji anipm au nipigie 0719474102
 
vipimo,bei,eneo lipo kawe ipi,picha....? tuwe wauzaji wa kidigital zaidi,yaani tubadirike..........
 
Yani mtu apige simu alafu umwambie ni 115sqt na unauza $750,000.
We weka size ya kiwanja na bei.
 
Ndio lakin km una shida kwel piga simu uelekezwe uje ukichek mkuu

Unaogopa nini kutaja bei?
Au Cha Udalali a.k.a Cha juu umeweka kikubwa sana hivyo unaogopa mwenye kiwanja akijua atamaindi?

Sio poa hivyo, unachelewesha wateja bure wakati mmiliki anaihitaji hiyo hela soon, weka bei halisi uliopewa, ridhika na commission uyakayopewa, acha kumuibia mteja na mmiliki!!
 
Hizi biashara za insufficient info zinasumbua Sana Hapa na ndio zimejazana sana hapa jukwaani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom