Kiwanja kinauzwa haraka

Apr 4, 2012
12
1
Kiwanja chenye ukubwa wa mita 30 kwa 50 kinauzwa haraka,kipo maeneo ya Majohe,bei ni 3.5mil.
Wasiliana na mmiliki kwa simu namba 0715334456,0767334467 au 0788334467
 
Majohe ipo wilaya Ilala-Dsm
Ili ufike kilipo kiwanja utaanzia safar yako pale Ukonga Mombasa,kama unatumia daladala kuna magari pale yanakwenda KWA MKOLEMBA,ukipanda hayo unafka moja kwa moja,kama una usafiri binafsi utafuata njia inayokwenda KWA DIWANI.
 
OK, kutoka hapo mombasa inachukua mud a gain na umbali gani mpaka majohe??
 
Mjohe sehemu gani maana tunajuwa watu wameambiwa "WAHAME " mara baada ya kufahamika kuwa sehemu hizo zitapita Bomba la SONGAS? Mimi ndugu zangu niliowapa wapo maeneno hayo wanatafuta wahame baada ya kuahidiwa KULIPWA.

Elezea je huna habri hizi?
 
Samahani nimekosea MAJOHE sio Mjohe na wanatatakiwa WAHAME, NAOMBA YASOMEKE HIVYO KWENYE POST YANGU YA KWANZA
 
Kutoka MOMBASA had MAJOHE ni mwendo wa dk 20 had nusu saa hivi.
Kuhusu suala la eneo hilo kupitishwa bomba la SONGAS sijapewa taarifa yoyote,ninachojua ni kwamba tetesi hizo zinahusisha eneo lililo mbali na hapo.Kiwanja kipo jirani na eneo lililotengwa na serikali kwa ajili ya makaz ya watu waliohamishwa toka Kipawa,sidhan kama wanaweza kuwahamisha tena wakat wengne hawajamaliza kujenga.Miundombinu na huduma zote za jamii kamavile barabara,umeme,maji,huduma za afya na shule vinakamilishwa kwa ajili ya wakaz hao.
 
Kutoka MOMBASA had MAJOHE ni mwendo wa dk 20 had nusu saa hivi.
.........
Dk 20 kwa miguu, basikeli, pikipiki au gari?
Hata hivyo speed inatofautiana kati ya mtu na mtu, au gari na gari, we taja umbali in KM.
 
Dk 20 kwa miguu, basikeli, pikipiki au gari?
Hata hivyo speed inatofautiana kati ya mtu na mtu, au gari na gari, we taja umbali in KM.
kaka usiombe akutajie KM mtu asiyejua!! mi nilikuwa singida jamaa ananiambia kwenda eneo moja linaloitwa KITEKA ni kama KM 200 hv huku akinipa baiskeli na kuniambia nitatumia km dk 40 kama nitaenda taratibu!!!
Mi nikagoma kwenda, ila umbali halisi ulikuwa km KM 5 hivi
 
kwa hiyo muuzaji yuko desperate?
It's different when the seller is desperate, it means a lot when it comes to price.
 
kaka usiombe akutajie KM mtu asiyejua!! mi nilikuwa singida jamaa ananiambia kwenda eneo moja linaloitwa KITEKA ni kama KM 200 hv huku akinipa baiskeli na kuniambia nitatumia km dk 40 kama nitaenda taratibu!!!
Mi nikagoma kwenda, ila umbali halisi ulikuwa km KM 5 hivi
Duh, km400 kwa baiskeli?? Si Tanga
unafika??
Huyu Jamaa wa Kiwanja anasahau kua Dk 20 zangu na za mtu mwingine haziwezi kutufikisha umbali sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom