Kiwanja kinauzwa Goba

HeisenbergJr

Member
Aug 17, 2015
38
13
P { margin-bottom: 0.08in; }

Tangazo - tangazo

Kiwanja kinauzwa

Kipo Goba wilaya ya Kinondoni Dar es salaam

Kipo karibu kabisa na barabara kuu inayounganisha mbezi ya KImara na Mbezi beach

Kina ukubwa wa square metres 600

Bei ni million 15 tshs (makubaliano yapo)

Mawasiliano--0712552483
 
Tshs 15,000,000/
Sqm 600

= Tshs 25,000 per 1 Sqm

Mkuu hiki kiwanja kiko surveyed??
 
Natamani kiwanja maeneo hayo, ngoja niisake hiyo hela, pengine nitakukuta.
 
P { margin-bottom: 0.08in; }

Tangazo - tangazo

Kiwanja kinauzwa

Kipo Goba wilaya ya Kinondoni Dar es salaam

Kipo karibu kabisa na barabara kuu inayounganisha mbezi ya KImara na Mbezi beach

Kina ukubwa wa square metres 600

Bei ni million 15 tshs (makubaliano yapo)

Mawasiliano--0712552483

Mkuu mimi si mwenyeji sana upande huo,kutoka Makongo sec mpaka Goba unatumia dakika ngapi kwa wastani,je eneo linalozunguka hapo kilipo kiwanja kuna nyumba zingine? pia kuna miundo mbinu yote? suala la kupima huwa lina cost kiasi gani?
Nasubiri kusikia kutoka kwako!
 
wastani-wa-dakika-unategemea-na-usafiri-unaotumia-ila-kwa-gari-yaweza-fika-20-hadi-30-minutes.miundombinu-kama-maji,hospitali,shule,road,umeme-n.k-vipo.-pia-nyumba-zipo-nyingi-tu-gharama-za-kupima-cjajua
 
Naona watu wameanza "kuwahi-kujitumbua-jipu"

bei za 25,000 kwa sqmtr ni enzi za Vasco D Gama, hicho kiwanja hadi kufika July 2016 utakiuza kwa 5,000,000 TZS. Niamini mimi na Mungu:(:(:(:(:(
 
Kwa hizo dimension zako hilo eneo linasika kama robo eka au
 
Naona watu wameanza "kuwahi-kujitumbua-jipu"

bei za 25,000 kwa sqmtr ni enzi za Vasco D Gama, hicho kiwanja hadi kufika July 2016 utakiuza kwa 5,000,000 TZS. Niamini mimi na Mungu:(:(:(:(:(
heheeee!!!!hakiozi-hiko-kaka-na-july-ikifika-hatouza-mtu-kwa-m5
 
Mkuu mimi si mwenyeji sana upande huo,kutoka Makongo sec mpaka Goba unatumia dakika ngapi kwa wastani,je eneo linalozunguka hapo kilipo kiwanja kuna nyumba zingine? pia kuna miundo mbinu yote? suala la kupima huwa lina cost kiasi gani?
Nasubiri kusikia kutoka kwako!
Kama utahitaji kupimiwa eneo au kuchukuliwa cordinates then uangaliziwe eneo lako liko sehemu gani katika master plan usisite kuniPM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom