Kiwanja kinauzwa GOBA (Tegeta A)

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,455
29,134
Kiwanja kinauzwa Tegeta A,
Ukubwa 30 x 20,
Mahali pazuri (Neighbourhood),
Unaingilia Mbezi mwisho unakata kulia,
Bei 5mil (Maongezi yapo),
Dalali hatakiwi,
 
Kiwanja kinauzwa Tegeta A,
Ukubwa 30 x 20,
Mahali pazuri (Neighbourhood),
Unaingilia Mbezi mwisho unakata kulia,
Bei 5mil (Maongezi yapo),
Dalali hatakiwi,
0713008926

Hapo kwenye red panahitaji ufafanuzi!

Unaingilia Mbezi Mwisho unakata kulia, afu kiwanja kiko Tegeta LOL
 
kiwanja kinauzwa tegeta a,
ukubwa 30 x 20,
mahali pazuri (neighbourhood),
unaingilia mbezi mwisho unakata kulia,
bei 5mil (maongezi yapo),
dalali hatakiwi,
0713008926

je kina hati miliki ????????????
 
Kiwanja kinauzwa Tegeta A,
Ukubwa 30 x 20,
Mahali pazuri (Neighbourhood),
Unaingilia Mbezi mwisho unakata kulia,
Bei 5mil (Maongezi yapo),
Dalali hatakiwi,
0713008926

Vp maswala ya hati na kila kitu?
 
Hati kwa maana ya kupimwa? hiyo hapana, maendeo yale hayajapimwa, but kina hati ya serikali ya mtaa kuthibitisha uhalali wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom