unauza goba kwa bei hiyo? mimi kipo kimara, nimekilevel kwa grader ilikuwa nijenge lakini nimepata pengine pazuri zaidi, kimara mwisho, kwa bei hiyo ya 15 utapata kiwanja kizuri sana. genuine, ukitaka ni pm.
Ha!ha!ha!ha!ha!Heshima kwenu wote,
Naamini mnaendelea vizuri na majukumu ya ujenzi wa taifa
Kuna kiwanja kinauzwa,
Kipo GOBA ukubwa wake ni mita 25 kwa 30.
Bei inaanzia mil. 15/=.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0755 507635 / 0655507635.
ndo kusema ni pm kama unataka kiwanja, sihitaji dalali, labda unaweza kuniongezea hako ka 15m nitumie kujengea nyumba yangu nyingine kwenye kiwanja nilichopata kizuri zaidi. amini usiamini, nilipata ngekewa, januari hii ni mwezi mbaya sana, watu wanaishiwa hela hadi wanatamani kujiuza, nikakutana na mtu mmoja anauza kiwanja kikubwa ajabu eneo zuri, m 25, nikakirukia palepale kimara upande wa king'ong'o, ndo naporomosha mjengo wangu pale, watu wanauza kwa matatizo january mbaya.....hivyo kama kuna mtu anahitaji kiwanja changu cha zamani, anitafute, nitampa kwa 15m....kama hamtaki au ukija na mambo ya kushusha bei, tambaa, nitajenga fremu za maduka na nyumba ya kupangisha kwasababu si mbali na barabara, ni hatua kama 50 toka barabara ya kwenda kwa komba na si mbali na kimara mwisho stand, watu bwerere na ni eneo la biashara sana.Hute ndo kusema
ndo kusema ni pm kama unataka kiwanja, sihitaji dalali, labda unaweza kuniongezea hako ka 15m nitumie kujengea nyumba yangu nyingine kwenye kiwanja nilichopata kizuri zaidi. amini usiamini, nilipata ngekewa, januari hii ni mwezi mbaya sana, watu wanaishiwa hela hadi wanatamani kujiuza, nikakutana na mtu mmoja anauza kiwanja kikubwa ajabu eneo zuri, m 25, nikakirukia palepale kimara upande wa king'ong'o, ndo naporomosha mjengo wangu pale, watu wanauza kwa matatizo january mbaya.....hivyo kama kuna mtu anahitaji kiwanja changu cha zamani, anitafute, nitampa kwa 15m....kama hamtaki au ukija na mambo ya kushusha bei, tambaa, nitajenga fremu za maduka na nyumba ya kupangisha kwasababu si mbali na barabara, ni hatua kama 50 toka barabara ya kwenda kwa komba na si mbali na kimara mwisho stand, watu bwerere na ni eneo la biashara sana.