Kiwanja kinauzwa dodoma mjini

Kiwanja kinauzwa dodoma mjini

Kalunguine

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2010
Posts
2,543
Reaction score
134
Kiwanja
hiki kinapatikana nyuma ya jengo jipya la BOT mtaa wa idara ya maji
barabra ya kwenda UDOM,BEI MILIONI 200,KWA MAWASILIANO tafadhali ni
PM,tazama site PLANN katika attachment ni kiwanja no 5.
 

Attachments

  • Picture 044.jpg
    Picture 044.jpg
    98.5 KB · Views: 296
Kwa wale wasiojaaliwa kununua kiwanja nadhani inaanza kufikia kikomo kwa mtu wa kawaida kuwa na uwezo wa kununua.Kama bei ni milioni 200!!!!!!!!! wajemeni ni hatari.Haya bana.....
 
200m kiwanja dodoma????network loading.........
 
Daa 200m kiwanja Dodoma!!!!!!! Hii kali, mji wa vumbi kali.
 
Hakuna kiwanja Dodoma cha bei hiyo. Acha kudalalia kiwizi wizi wewe
 
duh mil200 kina digitali au analojia??? afu dodoma?? ngoja wanye mabavu waje!!
 
Du,hyo plot ina madini ya uranium,mbona hyo bei ni kama ya viwanja vya tokyo
 
Back
Top Bottom