Kiwanja kinauzwa chanika

Kiwanja kinauzwa chanika

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
7,989
Reaction score
14,801
Kiwanja chenye size ya nusu hekari yani miguu 60 kwa 60 kinauzwa chanika lukooni nusu km kutoka kwenye shule ya msingi lukooni....
Kwa mawasiliano zaidi ni PM.
 
jiuzie mwenyewe kwa bei uijuayo wewe mwenyewe!!?%&@₩§¥£
 
Jamani hata mimi ninauza kiwanja kifuru msigwa maeneo ya kinyerezi. tuwasiliane kwa genuine buyers only
Kiwanja chenye size ya nusu hekari yani miguu 60 kwa 60 kinauzwa chanika lukooni nusu km kutoka kwenye shule ya msingi lukooni....
Kwa mawasiliano zaidi ni PM.
 
niko interested saana na kununua kiwanja lakini kwa jinsi mnavyouza walaa sihitaji!
yaani nije pm ndo unipe bei! hauko serious kabisa, mnajaribu soko? au mnapima akili za watu? mnaboa saana
 
mkuu hatua 60 kwa 60 ni nusu eka ama eka kamili, vipi kuna hati?
 
niko interested saana na kununua kiwanja lakini kwa jinsi mnavyouza walaa sihitaji!
yaani nije pm ndo unipe bei! hauko serious kabisa, mnajaribu soko? au mnapima akili za watu? mnaboa saana
bei ni 4.5m na inaongeleka....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom