binju ni wapi?
si ametoa no za cm hapo? ruka naye tuu, ila kiwanja chenye hata bunju kwa 3m:nono::nono:
nusu heka mtu alikuwa anataka 20mKwani Bunju Viwanja vyenye Hati Vinauzwaje?
nusu heka mtu alikuwa anataka 20m
mwakani si itafika 100m, we naona hunitakii mema kabisaOk! Nitafute Mwakani nikuuzie Eka Nzima Saaaafi kabisa isiyo na Utata